Thursday, September 18, 2014

MAN WALTER AKANUSHA TETESI KUWA WIMBO WA ALLY KIBA MWANA DAR ES SALAAM NI DONGO KWA DIAMOND PLATINUM

walter









Producer mkali ambaye anakubalika kwa sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.