Wednesday, October 15, 2014

CHRIS BROWN ASHAMBULIWA NA MASHABIKI BAADA YA KUTOA KAULI CHAFU KUHUSU UGONJWA WA EBOLA

Muimbaji wa R&B, Chris Brown amepondwa kufuatia kauli yake kwenye mtandao wa Twitter kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ni sehemu ya kuzuia ongezeko la watu duniani.
chris-brown-2013-650-430-b
Hivi ndivyo alivyoandika:
Dakika tatu baada ya tweet hiyo, kufuatia kupondwa na baadhi ya followers wake zaidi ya milioni 13.6, alikuwa mpole na kutweet:
Mchekeshaji, Warren Holstein alitweet:
‘Chris Brown tweeted that Ebola is “a form of population control.” He should try it.’
Naye Kevin Hildebrand alisema: ‘Let’s keep in mind that Chris Brown is a complete idiot, so his theory of Ebola is equal to a rant from a village idiot.’