Wednesday, October 15, 2014

MZEE MAJUTO ATIA AIBU. ATIMKA NA PESA NA KUSHINDWA KUPIGA.SHOW

Msanii Vichekesho maarufu kwa jina la Mzee
Majuto Wekeend iliyopita alitakiwa kuwepo Dodoma
kwenye ukumbi wa Matei lounge kwa ajili ya
kufanya show, Sakata lilikuja pale mwandaaji wa
show hiyo kunaswa akiwa analia, Picha lilianza
pale ambapo Paparazi wetu alimnasa Dada huyo
akiwa chocho akinunguka kuwa kamtumia Mzee
Majuto pesa Taslimu Shilingi laki tatu na nusu kwa
ajili ya kuja kupush Mauzo ya CD yake,
Ambapo aliwaalika mstaa kibao akiwemo Mzee
Majuto,Asha Boko na wengine kibao.
Ilikuwa ni Majira sa nne Usiku ambapo wasanii
wengine walikuwa wameshafika na alikuwa
anasubiriwa Mzee majuto ili shughuli iweze kuanza
lakini cha kushangaza mzee Majutokila akipigiwa
simu anadai yupo Chalinze, Dada huyo aliendelea
kulalamika kuwa mara ya nn hii kila nikipiga simu
ananiambia nipo chalinze'' jamani sasa huu si
usanii juu ya usanii, Pesa kachukua halafu
anaharibu shugnuli ya watu sasa kama alikuwa
hataki ni kwa nini kuchukua pesa ya watu? wasanii
hembu jiheshimuni jamani acgeni kucheza na akili
za watu.