Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani muda huu kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumzakifanya makamuzi na Davido (kulia).
Wasaniiwa Ya Moto Bandwakifana yao.
Rapper Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta.
Mkali kutoka Morogoro Stamina akitoa burudani.
Msanii wa Bongo Flava, Shaa akifanya yake usiku huu kwenye tamasha la Fiesha 2014 Leaders Club, Dar.
Sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesha usiku huu.
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar Leaders Club.
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akifana yake na Ommy Dimpoz.
Madansa wa Vanessa Mdee wakifanya yao usiku huu.
Ommy Dimpoz akiimba juukwani wimbo wake wa Nani kama Mama.
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akitoa burudani usiku huu katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club jijini Dar.