JIJI LETU

Thursday, November 6, 2014

MAJANGA:AKAMATWA NA POLISI KWA KUUZA NYAMA YA MBWA


Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mtu mmoja 

aliyefahamika kwa jina la Ahadi Jesikaka Mkazi wa Kijiji cha 

Ngyekye kwa kosa la kuwauzia watu nyama ya mbwa.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi 


Mwandamizi wa Polisi Ahmed Msangi amewataja watu 

waliouziwa na kutumia kitoweo hicho kuwa ni Enock 

Nsemwa, George Nsemwa, Anyandwile Mbwilo wote wakazi 

wa Ngyekye
at 4:07:00 PM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULY 11 2015
  • KURASA ZA MWANZO NA MWISHO MAGAZETINI LEO AUGUST 15 2014
  • MJUE HUYU MWANAUME ANAYEPENDELEA KUVAA GAUNI NA VIATU VIREFU...ANAISHI DODOMA
  • KURASA ZA MWANZO NA MWISHO ZA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 31,2014
  • Serikali Kupitia Upya Mikataba ya Shirika la Reli Tanzania (TRL)
  • Mama Yangu Hapendi Nihame Nyumbani Kwetu – Ray
  • Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 8 May 2015
  • MSHINDI WA BIG BROTHER IDRIS SULTAN AINGILIA UGOMVI WA WEMA NA ZARI.
  • NAFASI MPYA ZA AJIRA LEO TAR 14 AUGUST 2014. APPLY MAPEMA.
  • UMEONA MAMBO YA JANUARY MAKAMBA AKITANGAZA NIA..HATARII MPAKA YUTONG MPYAAA NDANI YA MILIMAN CITY
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.