Kama ulikua mbali na TV yako taarifa ikufikie tu kwamba waliotolewa ni Permithiaskutoka Namibia na Frankie mwakilishi wa Rwanda wametolewa ndani ya jumba hilo na kufanya idadi ya washiriki waliotoka kuwa kumi na mbili, sita wa kike na sita wa kiume.
Wiki iliyopita washiriki watatu walitoka akiwemo Arthur wa Rwanda pia ambapo Frankie anakuwa mshiriki wa pili kutoka nchi ya Rwanda kutolewa BBA.