Sunday, December 28, 2014

BAADA YA KIMYA KIREFU MSANII 'Q Chief' SASA KUACHANA NA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA


Baada ya kipindi kirefu cha kusumbuliwa na utumiaji wa madawa 

ya kulevya, msanii Shaban Katwila 'Q Chief' sasa anaweka wazi 

kuwa ameachana kabisa na matumizi ya MADAWA YA 

KULEVYA na yuko tayari kuwapa wapenzi wake buradani.


Nini unataka kumshauri msanii huyu?