Thursday, December 25, 2014

HIZI NDIO ZILE AINA 10 ZA WANAWAKE WANAO PENDWA ZAIDI NA WANAUME.. BOFYA HAPA KUTAMBUA,, TIZAMA NA PICHA

WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi niwanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu yakifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamiikwa asilimia 50 kwa 50
 
WANAOJUA MAPENZIWanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa niuwezo wa kuwatosheleza wenzi wao katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwasita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za wanaumebila kujali sifa zao za nje au za ndani
 
 MARAFIKI Wanawake wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia wanaume.Wao hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna wanavyojali na kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye shida naraha kwa wapenzi wao. Si wakorofi, ni waungwana na wapenda amani
 
 WAPENDA UWAZI Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo nawapenda uwazi. Si wepesi wa kuburuzwa katika maamuzi ya msingi kwakisingizio cha wao ni wanawake. Utafiti unaonesha wanawake wa aina hiiwamekuwa muhimu hasa kwa wanaume wenye tabia za ubabe na udhaifu katikauelewa wa mambo. 
 
WANAOJITEGEMEA Wanawake wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na akina‘naomba vocha’ kila siku. Uchunguzi unaonesha kuwa wanaume wa leohawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na wanaoendekeza stareheza upande mmoja. 
 
WASIO NA PRESHANikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha wasiolazimisha vituvitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo yatokee yenyewe nakazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama wapenzi
 
 MARIDADI Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafina kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje lakini pia ni waelewa wa mazingira, si washamba. Wanapendeza kwa mwonekano. 
 
WANAORIDHIKA Wanawake ambao huridhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa kwawanaume. Hili ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa mapenzikwa upande wa wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza kutokajuu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya mwanamke 
 
WA MMOJA Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari kukwepa kilaaina ya vishawishi toka kwa wanaume ambao kimtazamo wana vitu vya ziadazaidi ya waliowachagua mwanzo, wanahitajika sana.“Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.”Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu sana