Monday, December 22, 2014

SHILOLE AOGESHWA KAMA MTOTO MDOGO VILE KWENYE PARTY YAKE



Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere.

Said  Fella na Faraji wakimmwagia Shilole maji na bia.

Shilole akipiga kelele baada ya kumwagiwa maji na bia.
….akiogelea.

Sehemu ilipofanyikia sherehe hiyo.
Msanii Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole akiwa na Steve Nyerere.

Shilole akiwa na wadau.



Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.
MWANADADA  Zuwena Mohamed ‘Shilole’  jana alidondosha bonge la pati alipokuwa  akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika moja ya apatiment iliyopo nyuma ya Baraka Plaza Mikocheni, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na  wasanii kama Ditto, Linah, Chegge, Mhe. Temba, Shetta, Mziwanda pamoja na wadau wengine.