Thursday, December 11, 2014

VIJANA WA MJINI WAMVUA NGUO DEMU MCHANA KWEUPEE KISA KAVAA NGUO ZA MITEGO

Picha Hii Imesambaa mitandaoni ikisemekana
ni maeneo ya Buguruni ..Vijana wakifanya yao
baada ya dada mmoja kuvaa kisketi kifupi na
kukatiza nacho mitaani..
Jamani hii tabia ya kuwavua nguo dada zetu
sio nzuri hata kidogo jamani kwa nini watu
tumegeuka wanyama??