Saturday, January 3, 2015

BREAKING NEWS:MMOJA WA PANYA ROAD AUWAWA MAENEO YA UKONGA MOMBASA KWA DIWANI AMBAPO MWILI WAKE BADO HAUJACHUKULIWA NA POLISI MPAKA SASA



Kwa taarifa za muda huu ni kwamba vijana wa panya road Maeneo ya Ukonga Mombasa kwa diwani waliokuwa wamemvamia muendesha boda boda wakiwa na visu ameuawa mmoja wa panya road na mwili wake unaelezwa upo eneo hilo na bado jeshi la polisi halijafanikiwa kuuchukua.


Hali hii inaweka sintofaham baada ya kamanda wa polisi Suleiman Kova kuwaondoa wasi wasi watanzania juu ya kuwepo kwa panya road nakusema ni uvumi tu,na kuwaasa wananchi kujichukulia sheria mkononi pindi wanapo mkamata mhalifu wamfikishe kituo cha polisi.


Nini pengine tasfiri halisi juu ya hilii?.


ITV Tanzania