Friday, January 2, 2015

BREAKING NEWS:PANYA ROAD WACHARUKA DAR.. KIBONDE NI MIONGONI WALIOVAMIWA WAKIWA BAR

Mtangazaji Kibonde ni miongoni mwa waliovamiwa na kundi la Panya Road Dar leo, walilala chini kwenye Baa, wengine wameumizwa kwa kupigwa
 Baada ya Kibonde na wengine kuvamiwa na Panya Road Baa karibu na M City asema 'ilibidi tulale chini, wengi wameumia wakitaka kujificha'
hali sio nzuri wale Panya Road (kundi la wezi) wanapita nyumba hadi nyumba, maduka na kwenye magari wanaiba kwa nguvu
Panya Road Tabata, watu wanaacha magari service road wanakimbia, wengine maduka na nyumba.
SASAHIVI WAKO UBUNGO NA KUNAMILIO YA RISASI INASIKIKA