Sunday, January 25, 2015

HAYA NDIYO MADHARA YA MATUMIZI YA KUCHA BANDIA, NI HATARI SANA KWA KINA DADA 

matokeo mabaya ya kucha bandi hupelekea matatizo makubwa kwani wataalamu wanasema fangasi ni mbaya.unaweza dhania utaharibu kucha tu lakini inapelekea kuozesha mguu au mkono.


matokeo mabaya ya kucha bandia,kuharibu kucha za vidole.



mwanzo wa matatizo ya vidole baada ya kubandua kucha .