RAIS UHURU KENYATTA AHANI MSIBA WA MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL ODINGA
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisaini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyefariki jana. Kulia ni mke wa Odinga, Ida Odinga.
Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga huko Karen, Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole mjane wa marehemu Fidel Odinga, Lwam Getachew Bekele nyumbani kwao Karen, Kenya.