Monday, January 5, 2015

VIDEO: UTENGENEZAJI WA VIDEO YA BRACKET WALIOMSHIRIKISHA DIAMOND !!!


December 2014 kundi maarufu la muziki kutoka Nigeria, Bracket ambao walitamba sana Tanzania na single ya ‘yori yori‘ walithibitisha kufanya kolabo
na Mtanzania Diamond Platnumz, walimsifia sana kwa ukarimu wake na kutokuwa na maringo na kitendo chake cha kuipokea haraka nafasi ya kushirikishwa na kuifanyia kazi.