Thursday, February 12, 2015

DIAMOND AANZA KUNUNUA MIDOLI YA MTOTO KUCHEZEA.. TAZAMA PICHA HAPA

Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito
alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo
hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza
kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto
pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye
ukurasa wake wa Instagram:
" Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy
vya kuchezea.. ."