Monday, February 2, 2015
FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU
BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana.
Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya Morogoro.
Newer Post
Older Post
Home