Thursday, February 5, 2015

LULU MICHAEL SASA TOO MUCH. AVAA KINGUO AKIONYESHA MANIDO WAZI WAZI

Kivazi alichotupia juu staa wa filamu za
Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu'
kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki
wake Instagram.
Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee
alitupia picha hiyo jana katika akaunti
yake ya Instagram ambapo alitupia na
maneno ya kizushi akisema: 'Lego get
em...... nikuridhishe kwani we
unaniridhisha!???? Am soleeeee!'
aliandika Lulu.
Baadhi ya mashabiki wake walihoji
kulikoni baada ya kuona dizaini kama
tumbo limeongezaeka wakiuliza kama
ana mimba au la japo wengi wao
wamemsifia mrembo huyo kwa
katokelezea