Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Jaji mstaafu Joseph Warioba leo Feb 16 wameungana na wananchi mbalimbali kwenye mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa msanii Dully Sykes.
Mazishi hayo yamefanyika kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye mazishi hayo.