Hiyo ni caption aliyoiweka Diamond Platnumz MARCH 9 2015 pamoja na PICHA wakiwa na Iyanya Nigeria kazi ya kurekodi video ya wimbo Nakupenda ilikuwa inaendelea hapo.
Leo nimekutana na kipisi cha hii video ambacho ni behind the scenes ya wimbo huo, play hapa uone mtu wangu huu mzigo ukitoka utakuwa na ladha gani.