Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova akiteta jambo na MC wa shughuli huyo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mecki Sadick, akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu.
ASKARI wawili wa jeshi la polisi waliouwawa na kuporwa bunduki aina ya SMG huko Mkuranga mkoani Pwani wameangwa leo katika ofisi za polisi zilizoko Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.