Tuesday, April 14, 2015
BASI LA PRINCES MUNAA LAPATA AJALI MKOANI DODOMA, ANGALIA PICHA HAPA
Jana jioni kumetokea ajali ya Basi la Princes munaa lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma.
Halijaua lakini kuna Majeruhi.
picha kwa mujibu wa jamii forums
Newer Post
Older Post
Home