Sunday, April 12, 2015

Loveness LOVE a.k.a Diva wa CLOUDS FM Abadili Jina, Sasa Anaitwa....


Diva sio Loveness tena kuanzia sasa! Mtangazaji huyo wa Clouds FM amebadilisha jina lake mahakamani na kuwa ‘Diva Gissele D. Malinzi’

Diva ameaimbia Bongo5 kuwa kuanzia Jumatatu ijayo atabadilisha kila kitu kilichokuwa na jina lake la zamani ‘Loveness’ baada ya kula kiapo mahakamani cha kubadilisha jina.

Kwenye kiapo hicho, Diva amedai ameamua kubadilisha jina hilo kwa sababu za kikazi kwakuwa amekuwa akitumia jina ‘Diva’ kwa kipindi kirefu sasa.

“Professional purpose plus hayo ni majina yangu I so wanted ever since nakuwa, so amma grown up in my 20s, living in my own world, it’s Diva World I just live in it,” Diva ameiambia Bongo5 kuhusiana na sababu za kubadilisha jina.

It’s Official I go by the name Diva Gissele Love ongeza surname mbele then we good to go. No More Loveness #abandoned and this deed already registered .. Thanks to My Lawyer Herry Munisi from Crest Attorneys . United Republic of Tanzania #ChangeOfName,” ameandika kwenye Instagram.