Saturday, May 23, 2015

JB ATOA TAHADHARI KUHUSU YA MATAPELI HAWA..WAONE UWAJUE

Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu wanaitumia vibaya sana..