Thursday, May 14, 2015

Juventus yatinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya..


Nusu fainali ya pili ya madiano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya inaendelea usiku wa leo kwenye dimba la Santiago Bernabeu ambao unazikutanisha timu za Real Madrid na Juventus.
Katika mchezo wa awali uliopigwa nchini Italia,Juventus walifanikiwa kushinda kwa goli 2-1.
Yafuatayo ni matokeo na vikosi vya timu zote mbili:
FT: Real Madrid 1-1 Juventus
Cristiano Ronaldo (pen.) 23'|Alvaro Morata 57'
Paul Pogba played and scored against Cagliari on Saturday on his return from injury
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo, Kroos, Isco, Rodriguez, Bale, Ronaldo, Benzema 
Juventus:  Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Marchisio, Pirlo, Pogba, Vidal, Tevez, Morata