NZANIA imemaliza mechi zake za Kundi B Kombe la COSAFA bila ushidi, ikifungwa zote baada ya jioni ya leo kulala 1-0 mbele ya Lesotho katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.
Michezo ya awali, Tanzania ilifungwa 1-0 na Swaziland na baadaye 2-0 na Madagascar na sasa inarejea nyumbani, ikiicha michuano hiyo ikiingia hatua ya Robo Fainali.