Kutana na Shilole, mwigizaji aliyechukua headlines na kwenye bongofleva pia ambayo anakiri kwa kiasi kikubwa ndio imeyabadilisha maisha yake kiuchumi.
Bado headlines zake za Belgium zinaendelea ambapo leo hii ameitumia millardayo.com hizi picha akiwa anafanya video yake mpya ya ‘Malele’ hukohuko Belgium ambako alikwenda kufanya show akaamua atumie gharama nyingine kutengeneza video yake mpya ambayo inatarajiwa kuwa yenye ubora zaidi.