Walimu Waingiliwa Kimwili Usiku Kichawi huko Kibondo Kigoma Huku Waume zao Wakijikuta Wamelala Chini
|
Picha si ya Tukio |
Waalimu wa kike wawili wamejikuta wakiingiliwa kimwili usiku na watu wasiojulikana huku waume zao wakijikuta wamelala chini.Tukio hili linalohusishwa na imani za kishirikina limetokea miaka miwili baada ya matukio kama hayo kutokea na kisha kukemewa vikali na wana kijiji na kisha kupungua.Chanzo : RFA