Tuesday, June 23, 2015

AZAM WASHUSHA KILIMANJARO V, INAENDA KASI ZAIDI NA NDANI KAMA DEGE LA AIR BUS

Boti mpya ya kisasa, Kilimanjaro V ya kampuni ya Azam Marine, inayomilikiwa na kampuni ya Said Salim Bakhresa ambao pia ni wamiliki wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam baada ya kuwasili eneo la Bandari ya Zanzibar. Boti hiyo inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni kwa safari za Bara na Visiwani.
Ni boti iendayo kasi zaidi na ndani muundo wake ni kama ndege kubwa aina ya Air Bus