Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba gari ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake Njombe kwenda Iringa imegongana Lori Semi Trailler .
Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila.
Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila.
Inaelezwa kuwa waliofariki dunia mpaka sasa ni 22 wanaume 15 na wanawake 7 na majeruhi ni 34.
Hiyo ni kwa ufupi tutaendelea kuwajuza........endelea kutembelea mtandao huu.