Thursday, July 9, 2015

SALAMA JABIRI ADAI ''NILIMPONDA MADAM AKANIPA KAZI MWENYEWE''

Salalam J akiongea katika kipindi cha XXL hivi karibuni ,alisema kuwa alimponda madam Rita ,wakatia akiwa na host kipindi chake cha zamani planet bongo miaka ya nyumba .

3e20420ecc3211e2bb5122000a9e2955_7
”Niliponda video moja hivi ailiyotengenezwa katika kampuni ya Madam Rita ,alivyosikia kwamba nimeponda hiyo video ,akaomba
clipe ya kipindi changu na baada ya hapo akaniita akanipa kazi nilidhani ananiitia kuhusu kum-diss kwangu hatimaye amenipa kazi hadi leo hii tunafanya kazi wote na alikuwa hata anijui wala simjui  ”. Salama J