Monday, September 14, 2015

HIVI NDIVYO MKE WA DR. SLAA ANAVYO KULA BATA NCHINI MAREKANI...AKIWA NA PIKIPIKI YA KIFAHARI

Mwandishi Wetu WAKATI nyumbani Bongo moto mkubwa umewashwa na mumewe aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, Josephine Mushumbusi amekuwa gumzo Marekani.

Kwa mujibu wa Mbongo aishiye nchini humo akitumia mtandao wake wa Instagram, mara baada ya Josephine kutua nchini humo akiwa na familia, baadhi ya Wabongo waishio humo walipata habari kupitia mitandao ya kijamii, wakaanza kumtafuta.