Thursday, September 24, 2015

Picha: Tiffah ni Photocopy ya Baba yake Diamond Platnumz

Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mpenzi wake wa Uganda, Zari the Bosslady ni kama photocopy ya sura ya baba yake.
12027776_10208053453079086_5375850434238692853_n
Diamond na Zari Hassan wamemuonesha mtoto wao Latiffah kwa mara ya kwanza Jumapili hii.
Tiffah1
Tiffah
Mastaa hao wamesherehekea siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo maarufu kwa kualika marafiki na watu wa karibu kwenye hafla iliyofanyika kwenye makazi yao, wanayoyaita State House..
Tiffah2
Mastaa mbalimbali wamehudhuria hafla hiyo ya kumtoa hadharani kwa mara ya kwanza mtoto huyo maarufu.
Akiongea kwenye kipindi cha EFM Uhondo kinachoendeshwa na mtangazaji wa zamani wa Clouds FM, Dina Marious, hivi karibuni Diamond alisema hana shaka kuwa Tiffah ni damu yake kukanusha tetesi zilizokuwa zimeenea kuwa huenda akawa si mwanae. Picha za mtoto huyo zimethibitisha ukweli huo.
11909997_902048153218567_667540784_n
Kaka wa Zari, Williams Bugeme akiwa na Tiffa
“Unajua mtoto kama si wako ni rahisi tu kujua. Na unajua mzazi anakuwa mtu wa kwanza kugundua kama mtoto si wako,” alisema Diamond. “Tena wazazi wetu wa Kiswahili wanakuaga sijui na machale gani akiona kama anasema ‘baba copy sio yako.’
“Yaani Latti ukimuona kabisa utasema ‘huyo Platnumz’.
Hizi ni comments za baadhi ya watu walioandika kwenye picha nyingine ya Tiffah aliyoiweka Zari kwenye ukurasa wake wa Facebook:
Vero James: Copy and paste of Diamond Platnumz Fans ‘ face. Congrats bro.
Haulah HK: This kid resembles Diamond Platnumz for real..awuchhii. eyes fr zari tho
babyshop
Melvo Precious: She really resembles Diamond wah!!
Ampeire Mercy: Confirmed. Looks of DP.
Betty Stella Mwende: That’s diamond’s photocopy right there…cutest
Norah Nkutu Kimbowa: Photo copy of her dad eeee!!!
Acronius Rweyendera: Hahahaaaa Photocopy diamond pure no comment nimekubali diamond umejizaa kbisa
Rahmahh Bugembe Kyeyune: Bby tiffa resembles his dad diamond thanks auntie zarieh
Namubiru Frank Firebase: Dis is Diamond for real,,,,, eeeh omwana afanana kitaawe
Jackline Muloki: Wow!! Like dad like daughter!! Shame on you all heater’s
Kiconco Judyth: Diamondz lips photocopy
Wanja Mishka: diamonds photocopy so haters please zip your mouths and throw the key to the deept of the sea
Barbara Mubiru: She is the carbon copy of her father. God bless her.
Kenzy B Ellie’s: Mum Papa’s carbon copy. Cute
Rena Ray Wandy: Photocopy of diamond kabisa,She took his lips ka sweet
Diamond aliwahi kudai kuwa anapenda kuongeza mtoto wa pili. “Mimi natamani kuwa na watoto wawili,” alisema. “Na yeye pia [Zari] akasema ‘Latti akishakua kidogo tutafute mtoto mwingine, tumalize shughuli’, nikamwambia basi yaani hapo utakuwa umeniteka mazima mazima.”
Kuhusu ndoa, Diamond alisema ni kitu kinachoweza kufanyika mapema. “Sijaona bado kuna kitu gani ambacho kitanifanya nichelewe.”