Kwenye mitandao ya kijamii kimenuka kuhusiana na mahusiano ya mwanadada shilole pamoja na nuhu mziwanda baada ya kupost picha zao wakiaogelea.
Mashabiki walianza kumshambulia Nuhu mziwanda kuwa kufuga nywele za kwapa na ni uchafu huku akiwa anaishi na mwanamke.