Friday, March 25, 2016

Drake hakutia saini picha ya Davido,mashabiki wa Davido walivyomsema staa wao sasa…

davido-1-1
Staa wa muziki Nigeria Davido amepondwa na mashabiki wake twitter wakidai kuwa kava lake la jarida la ‘Fader’ halikutiwa saini na rapper Drake sababu hamjui na hajawahi hata kumsikia.
Kava la Davido liliwekwa pembeni na kava la Rihanna ambalo Drake aliweka saini yake hivi karibuni akiwa backstage kwenye show ya muziki ya jarida hilo na la Davido halikuwekwa saini yoyote na Drake sababu ikiwa labda hakutakiwa kufanya hivyo au hamjui Drake.
Davido aliandika hivi “Kuwa na furaha wameweka msanii wa Afrika kwenye jarida kubwa kama hili na kugundua wasanii kutoka maeneo tofauti”.
 Davido-for-Fadar-magazine Drake 2