Tuesday, March 22, 2016

PICHA ZA WOLPER ANAVYOKUWA AKIWA ANAKULA GAMBE

jb

 Staa wa filamu Jacqueline Wolper aka ‘WolperGambe’ ameamua kuandaa filamu ‘Gambeka’ jina ambalo limetokana na aka yake. Katika filamu hiyo Jackie amecheza kama mwanadada mlevi.


Kupitia instagram, Wolper ameandika:
New movie ni hatari gambeka shabq yangu kaa mkao wakufurahi mungu tusimamie.
Muigizaji huyo, amewai kutamba na filamu kama Tom Boy, After Death, Hard Price na nyingine nyingi.

Nini maoni yako juu ya ujio wa filamu hiyo?