Tuesday, March 22, 2016
MAAJABU: MWANAUME AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA.
Mwanaume aliebadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke atimae amezaa watoto wawili wa kiume.
Mwanaume huyu mwenye asili ya uingereza anakadiliwa kuwa na miaka 30, ameweza kushika mimba baada ya kupandikizwa homoni za kike katika mwili wake.
Newer Post
Older Post
Home