Friday, September 5, 2014

HAAHAAH!!! BASI UNAAAMBIWA HUU NDIO UJIO MPYA WA JOKATE….SHUKA NAO HAPA KUUTAZAMA..!!

Kama unakumbuka mara ya kwanza kumuona Jokate anaimba basi wengi watasema walimwona kwenye video ya Kaka Dada aliyoimba na Lucci  wakati video yake ya kwanza ikiwa ni ile ya African Queen aliyoimba na AY. Hivi karibuni mrembo Jokate Mwengelo alienda nchini Kenya kwa ajili ya kufanya video ya single yake ya kwanza katika tasnia hii ya muziki. Video hii amefanya na mtangazaji mkenya, Nick  Mutuma ambapo aliimba nyimbo ya video hii kwa mara ya kwanza kwenye Serengeti Fiesta Mwanza .Hivi ni baadhi za vipande vya video hii mpya…

Jokate-mwengelo-na-nick-mutuma-vibe

Jokate-mwengelo-na-nick-mutuma-vibe-2
Jokate-mwengelo-na-nick-mutuma-2