Friday, October 10, 2014

JE UNAJUA KUWA..UKIACHA UTANGAZAJI, HIZI NDIZO KAZI ZINAZO WAWEKA MJINI DJ FETTY, ADAM MCHONVU NA B12

 

B12
HUYU NDIYE MUONGOZAJI WA KIPINDI CHA XXL, AMEWEZA KUJIKUSANYIA KIPATO CHA ZIADA KWA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHRI MBALI MBALI ZA KIUCHUMI IKIWEMO KUMILIKI LEBO YA NGU YA BORN TO SHINE PAMOJA NA KUWA MC KATIKA MAEVENT MBALIMBALI

DJ FETTY
HUYU NAE KAMA WALIVYOWENZAKE PAMOJA KWAMBA NI MWANAMKE LAKINI NI MPIGANAJI BALAA, HUYU MC NA PIA NI DJ WA CLUB MBALI MBALI JIJINI DA IKIWEMO ESKAPE 2, NA PIA ANAMILIKI WEBSITE AMBAYO IMEJIZOLEA UMAARUFU KUTOKANA NA KUWEZESHA VIJANA KUDOWNLOAD NYIMBO NA KUPATA HABARI ZA WASANII

ADAM MCHONVU
HUYU YEYE NI MTANGAZAJI LAKINI ANA KIPAJI CHA KURAP PAMOJA NA KUPIGA FREE STYLE NA AMEWEZA KUUZA SANA NGOMA ZAKE HAPA BONGO IKIWEMO ILE NGOMA ILIYOMTAMBULISHA YA BWANA SHAMBA.

MWANDISHI WA MAKALA HII ANAPENDA KUWAASA VIJANA KUTOBWETEKA NA KURIDHIKA NA KAZI MOJA BALI, KUPIGANA NA KUWA NA VITEGA UCHUMI VINGI KAMA ILIVYOKWA VIJANA HAWA.