Kufuru ya pesa aliyonayo msanii Davido kutoka Nigeria ametengeneza gari yake aina ya G Wagon ametengeneza taa za gari yake lenye umbo la Jina lake, ambapo ukifungua mlango usi taa za gari yake zinachora jina lake kama kivul kweli Davido kwa hili umetisha sana