Tathmini kutoka Marekani imeonyesha idadi ya watu ambao wanapendwa zaidi Marekani kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Hii si mara ya kwanza kufanyika kwa tafiti hiyo, mara zote kumekuwa na majina tofauti yakijitokeza kila siku lakini kwa upande wa wanawake, Iron lady Hillary Clintonameendelea kuwa kinara, akifuatiwa na Oprah Winfrey na nafasi ya tatu ikishikwa na Malala Yousafzai ambaye ni mwanaharakati kutoka Pakistani.
Kwa upande wa wanaume Rais wa Marekani, Barack Obama ameongoza kwenye list hiyo, Papa Francis ameshika nafasi ya pili na Bill Clinton ameshika nafasi ya tatu.
Itazame list kamili hapa
Hii ni ya kutoka Marekani, nitafurahi ukiniandikia kwa hapa Bongo watu wako watatu waliokuvutia zaidi mwaka 2014.