Friday, December 26, 2014

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUKAGUA MIRADI YA UMEME


Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa Mara


Meneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huo



Wananchi wakimsikiliza