MWANAMUZIKI DIAMOND AMWAGA PESA KWA MASHABIKI WAKE JUKWAANI TAMASHA LA TIGO KIBOKO YAO
Show ya kiboko yao jana ilikuwa ni vita nyingine kati ya Kiba vs Diamond vituko kadhaa vilijitokeza ikiwemo Diamond Kugawa kwa Kurusha Pesa kwa Mashabiki kitendo ambacho wengine wamekichukilia kama matumizi mabaya ya pesa kwa kuwaig a wanamuziki wa Marekani, Pia wengine wamechukulia kitendo hicho kuwa alikifanya ili kuzima watu midomo asizomewe.
Je wewe unachukuliaje kitendo hicho cha kumwaga pesa kwa mashabiki?