Mabingwa wa AFCON 2015 ni Ivory Coast, dunia nzima imewatambua baada ya ushindi wao wa penati 9-8 dhidi ya wakali wa Ghana, fainali ambazo zilichezwa FEB 9 ndani ya Equatorial Guinea.
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara aliongozana na maelfu ya mashabiki ambao walifurika kwenye mapokezi ya mabingwa hao baada ya kuwasili nyumbani kwao.
Hapa ni baadhi ya PICHAZ mabingwa hao baada ya kikabidhiwa kombe lao na wakati wakiwasili nyumbani kwao.