MBONA MNATUCHANGANYA??..ETI HUYU MTOTO NI WA GWAJIMA AU MBASHA?..CHEKI PICHA HIZI KISHA NIPE JIBU
Wadau kadhaa wamerusha lawama kwa wahudumu wa hospital ambayo amejifungulia Mwimbaji wa injili Flora Mbasha kwa kuvujisha picha zilizopigwa ndani ya chumba cha kujifungulia. Jambo ambalo limezua maswali
kwa wengi na kuendelea kuhoji baba wa mtoto huyo? Ndugu msomaji una maoni gani juu ya hili? Wahudumu wametenda haki? Wanaohoji baba wa mtoto je, wanahoja ya msingi?