| Huyu
ndiye Mkuu mpya wa Wilaya ya Mufindi Mh. Mboni Mhita tumia kichwa chako
kusoma kampeni chafu hapa chini kwamba huyu chini mcheza Bongo Muvi
Nice Chande ndiye huyu wa juu haingii hata akilini swali ni je nia na
madhumuni ni nini hasa ya hawa wapinzani kumchafua Mkuu huyu ambaye ni
msichana mdogo sana kwa umri na kumchafua Rais wa Jamhuri? Mwananchi
jiulize mwenyewe!! |