Wednesday, February 4, 2015

Wanamgambo wa Kiislam wa ISIS Wamchoma Moto Akiwa Hai Rubani Mateka wa Jordan

Udaku Special Blog: Wanamgambo wa Kiislam Kwa Mara nyingine tena wameishangaza Dunia Kwa Kufanya Unyama wa Hali ya Juu Kabisa kwa Kumchoma Moto Mateka wa Jordan Ruban Moaz al-Kasasbeh , Tukio Hilo
Ambalo limerekodiwa katika Video Linaonyesha Mateka huyo akiwa amefungiwa katika Kijumba kidogo cha Nondo za Chuma na kumwagiwa Petrol , Baada ya muda askari mmoja anawasha kiberiti na kumteketeza mateka huyo huku wakishuhudia..Huu sasa ni ukatili wa Hali ya Juu.....Taifa la Jordan limesikitishwa na tukio hilo na kusema watalipiza kisasi kwa kuwauwa mateka wote wa Kundi hilo la ISIS ambao wamewashikilia.

Kwa Kuzungu:
Militants fighting for the Islamic State terror group in Syria and Iraq have claimed to have burned alive captured Jordanian pilot Moaz al-Kasasbeh while he was locked helpless in a cage.

The footage, which is titled 'Healing the Believers' Chests' appears to show the captured airman wearing an orange jumpsuit as a trail of petrol leading up to the cage is seen being set alight.

Flames are seen quickly spreading to the cage where they completely engulf the helpless pilot in images that are far too distressing to publish.

The release of the video has prompted Jordan to announce it will execute all prisoners convicted of association with ISIS 'within hours'.Within an hour of the 22-minute-long video's publication, Jordan reportedly moved six ISIS-linked prisoners to a jail in the south of the country which is usually used for state executions.