PICHA ZA MIILI YA WATU ILIYOUNGUA KATIKA AJALI YA RUAHA MBUYUNI LEO ASUBUHI, ANGALIZO PICHA ZINATISHA
Basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa na Kilombero mapema leo asubuhi limegongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso na kisha magari hayo kuteketea kwa moto maeneo ya milimani kilomita kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro, Nakusababisha Abiria Kadhaa Kuteketea kwa Moto huo.