Sunday, May 17, 2015

Angalia hapa video ikionyesha uchafu huu wafanyao wanafunzi ni Aibu kweli kweli


Ni utamaduni wa kiafrika kucheza kwa kukata mauno siwezi kushangaa lakini sasa inatoka mauno haya unayakata ukiwa wapi hawa ni wanafunzi kwa mjibu wa mtandao wa Gossip News Afrika wa Nchini kenya umenasa wanafunzi hawa wakifanya mambo haya angalia video hapo chini ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI