Tuesday, June 23, 2015

HAYA NDIYO MAISHA YA MRISHO NGASSA AFRIKA KUSINI, GARI NA NYUMBA NZURI YA KUISHI...ASHINDWE MWENYEWE

Mshambuliaji mpya wa Free State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa akiwa mbele ya gari la kutumia alilopewa na klabu yake hiyo baada ya kuwasili mjini Bethlehem leo yalipo makao makuu ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya nchini humo
Mke wa Ngassa, Radhia Mngazija akiwa jikoni kwenye nyumba yao baada ya kuingia leo
Radhia 'Nish' akiwa mlango wa nyuma wa nyumba yao mjini Bethlehem
Mrisho akiwa kwenye sebule ya nyumba yake mjini Bethlehem
Mrisho Ngassa akiwa mlango wa nyuma wa nyumba yao
Nyumba ipo barabarani kabisa
Nish akiwa kwenye geti la mbele la nyumba yao mjini Bethlehem